0
Madrid yatumia mbinu chafu kumnasa Mbappe
Madrid yatumia mbinu chafu kumnasa Mbappe

REAL Madrid bado inafanya mbinu za kimafia ili kumsajili straika wa Paris St. Germain (PSG), Kylian Mbappe. Klabu hiyo inasubiri hatma ya...

Read more »

0
Liverpool kutenga kitita cha fedha kumng’oa Marco Asensio Real Madrid
Liverpool kutenga kitita cha fedha kumng’oa Marco Asensio Real Madrid

Klabu ya Liverpool inahusishwa kuhitaji huduma ya kiungo wa Real Madrid, Marco Asensio na hivyo kulazimika kutenga kitita cha pauni milion...

Read more »

0
Maradona atenga kitita kirefu kumnasa aliyemzushia kifo
Maradona atenga kitita kirefu kumnasa aliyemzushia kifo

Nyota wa zamani wa timu ya taifa ya Argentina Diego Maradona ametangaza ofa ya dola 10,000 za Marekani (sawa na Tsh. Milioni 22,75) kwa m...

Read more »

0
Barcelona yatajwa kinara wa mkwanja mbele ya Man United, Madrid
Barcelona yatajwa kinara wa mkwanja mbele ya Man United, Madrid

BARCELONA im­etajwa kuwa klabu ya soka inayoongoza kwa kuingiza fedha nyingi kuto­kana na malipo ya udhamini, ikiwa inaingiza pauni 187m ...

Read more »

0
Simba wachimbwa biti zito na Kocha wake
Simba wachimbwa biti zito na Kocha wake

Kocha wa zamani wa Simba, Dylan Kerr ametoa onyo kwa waajiri wake hao wa zamani akiweka  msisitizo kuhusiana na suala la kiungo Francis Ka...

Read more »

0
Lipuli haishikiki, yaongezea mikataba mastaa wake
Lipuli haishikiki, yaongezea mikataba mastaa wake

Baada ya kufanikiwa kupanda Ligi Kuu msimu wa 2017/18 na kufanya vizuri ikifanikiwa kumaliza katika nafasi ya 7 kwenye msimamo, klabu ya s...

Read more »

0
AC Milan yakutana na rungu la UEFA
AC Milan yakutana na rungu la UEFA

WAKONG­WE wa soka nchini Italia, AC Milan wamefungiwa ku­shiriki michuano ya Ulaya kwa mwaka mmoja kuto­kana na kukiuka kanuni za soka. Ti...

Read more »

0
Tuzo za Ligi kuu Tanzania kutolewa Kesho
Tuzo za Ligi kuu Tanzania kutolewa Kesho

Tuzo za Ligi Kuu Tanzania bara msimu wa mwaka 2017/18 zinatarajiwa kutolewa kesho Jumamosi Juni 23,2018 kwenye ukumbi wa Mlimani City na m...

Read more »

0
Wakongo watua nchini leo
Wakongo watua nchini leo

Timu ya taifa ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo (The Leopards) kimetua nchini asubuhi ya leo tayari kuikabili timu ya taifa ya Tanzania ...

Read more »

0
Donald Ngoma kuanza mazoezi kesho
Donald Ngoma kuanza mazoezi kesho

Mshambuliaji wa Yanga, Mzimbabwe, Donald Ngoma, anatarajiwa kuanza mazoezi na kikosi cha timu hiyo kesho Jumatatu. Kwa mujibu wa kauli ya ...

Read more »

0
Klabu ya Chelsea yapata pigo
Klabu ya Chelsea yapata pigo

Klabu ya soka ya Chelsea kuelekea mchezo wake wa ligi kuu ya England dhidi ya Tottenham, huenda ikamkosa mlinda mlango wake namba moja Thi...

Read more »

0
Mahusiano ya Pogba na Mourinho yaelekea kubaya
Mahusiano ya Pogba na Mourinho yaelekea kubaya

Imeripotiwa kuwa mahusiano ya kiungo wa Manchester United, Mfaransa, Paul Pogba na Kocha wake Jose Mourinho si mazuri. Kwa mujibu wa Daily...

Read more »

0
Liverpool kumuongezea mkataba Mohamed Salah
Liverpool kumuongezea mkataba Mohamed Salah

Uongozi wa klabu ya Liverpool upo kwenye mipango ya kumuongezea mkataba mwingine Mshambuliaji wake kutoka Misri, Mohamed Salah. Taarifa zi...

Read more »

0
RONALDO ANATAKA MSHAHARA MKUBWA KULIKO MESSI
RONALDO ANATAKA MSHAHARA MKUBWA KULIKO MESSI

Taarifa zinaelezwa kuwa nyota wa Real Madrid na timu ya taifa ya Ureno, Cristiano Ronaldo anaweza akawa mchezaji anayelipwa zaidi kuliko m...

Read more »

0
Ronaldo ataka kuvunja rekodi Messi
Ronaldo ataka kuvunja rekodi Messi

Taarifa zinaelezwa kuwa nyota wa Real Madrid na timu ya taifa ya Ureno, Cristiano Ronaldo anaweza akawa mchezaji anayelipwa zaidi kuliko m...

Read more »

0
Ngoma aruhusiwa na Daktari kuwavaa Waethiopia
Ngoma aruhusiwa na Daktari kuwavaa Waethiopia

Daktari Mkuu wa Yanga, Edward Bavu amemruhusu mshambuliaji wao Donald Ngoma kucheza dhidi ya Wolayta Dicha ya Ethiopia kwa kumuanzishia pr...

Read more »

0
Ajibu awatuliza mashabiki wa Yanga
Ajibu awatuliza mashabiki wa Yanga

LICHA  ya kufungwa mabao 2-1 dhidi ya Township Rollers katika mechi ya Ligi ya Mabingwa Afrika, mshambuliaji wa Yanga, Ibrahim Ajibu amewa...

Read more »

0
TFF kuzisaidia Simba, Yanga CAF
TFF kuzisaidia Simba, Yanga CAF

UONGOZI  wa Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) umesema kuwa unajipanga kuhakikisha unazisaidia timu za Simba na Yanga ili zifanye vizuri ka...

Read more »

0
Haji Manara asema Liverpool ikiifunga Manchester anahama CCM
Haji Manara asema Liverpool ikiifunga Manchester anahama CCM

 Afisa habari wa klabu ya Simba, Haji Manara amesema kuwa ikitokea majogoo wa Uingereza, timu ya Liverpool ikaifunga Manchester United kat...

Read more »

0
Hii ndio sababu ya Pogba kuachwa nje ya kikosi leo
Hii ndio sababu ya Pogba kuachwa nje ya kikosi leo

Kocha wa Manchester United Jose Mourinho amesema kuwa amemwacha nje ya kikosi kiungo wa timu hiyo Paul Pogba ktokana na kuumia kwenmye maz...

Read more »
 
Top