0
FAIDA YA KUJITAMBUA
Tafsiri ya neno jitambue ni pana zaidi,nitazungumzia upande mmoja hasa katika upande wa afya nikiwa nafahamu fika historia ya watanganyika ni watu wasiopenda kufatilia afya zao huenda ni kwa sababu ya kipato au historia.

Unapokuwa na desturi ya kujichunguza katika swala la afya maana yake utakuwa unajua kinachokusibu na hata unapotumia dawa utakuwa unajua imekusaidia vipi,utakuwa unajua unaxhofanya na kufanya unachojua na utakuwa na maamuzi sahihi ya dawa unayotumia.

KWA MFANO;
Unajua kiwango cha kinga mwilini
Unajua kiwango cha vvu mwilini wako hii itakupa urahisi katika safari yako ya maisha na unaweza ukapata mtoto ambae hajaathirika kwa umakini wa ufatiliaji wa afya yako.

Tunajua tatizo la vipimo katika taifa letu na watu wengi hawana taarifa sahihi kuhusu afya zao kwa maana hawajapima na kama wamepima basi sio vipimo vyote vinavotakiwa kupimwa kwa mtu alieathirika.

Katika maradhi hayo yanoikabili taifa letu na walionufaika baada ya kutumia 4a9,kuna mtu alikuwa akisumbuliwa na vitu 4

  1. Alikuwa anakaukiwa damu
  2. Mapigo ya moyo yalikuwa yanaenda mbio
  3. Akitembea kidogo anachoka
  4. Alikuwa akisumbuliwa na miguu kuisha nguvu


Ni athari ya dawa alizokuwa akitumia ambazo jina lake tumeghafilika lakini tukilikumbuka tutalitaja.
Baada ya kutueleza haya alotueleza ndipo tukamuelekeza 4a9 na baada ya kutumia 4a9 kwa muda mchache madhara hayo yaliondoka mwilini mwake,na hayo maoni tuliyakusanya baada ya wagonjwa kutumia dawa.

Kuna watu walikuwa wakisumbuliwa la mingurumo ndani ya tumbo na kutoa pumzi chafu kila mara na akipata haja kubwa hupata ya mfano wa haja ya mbuzi na maumivu makali sehem za siri lakini baada ya kutumia nusu dozi ya 4a9 hali hio iliondoka katika miili yao.

Siku moja nilikuwa napitia muungwana blog niliona picha ya kiongozi mmoja akilalamikia uhaba wa dawa nchini,kama ni kweli jambo hili lipo tunakila sababu ya kujiuliza na ukikosa jawabu kimbilia 4a9 kama wengine wanavoikimbilia kwa sababu haina madhara zaidi ya faida mwilini mwako,hili ni jawabu lako kwa sasa kutokana na maradhi mwengi yanoikabili Tanzania na nje ya  Tanzania
Tulikutana na watu mbalimbali ambao walikwenda sehemu na kwa imani mbalimbali ili kwenda kuombewa lakini kutokana na maelezo yao walijikuta wanapandisha huku wakijijua lakini wanashindwa kujizuia na wengine wakiamini ni mapepo wengine wakiamini wamerogwa,baada ya kupokea maekezo hayo na kupata historia ya maisha yao tuliwapa 4a9 na baada ya kutumia hali zao zikaendelea kuwa nzuri.

Haya yote tunayoyaongea tunaushahidi nayo wakutosha kabisa
Nichukue fursa hii fupi kuwashauri viongozi wa dini mbalimbali,anapokujia mgonjwa kwa imani yake kwako kwa kutaka umuombee kwa imani yoyote ile,ushauri wangu T.r msigwa umuombe taarifa za kimaabara za ugonjwa.

Hii itasaidia kulinda heshma zeny na heshma za imani zenu..
Wagonjwa wengi wameonekana na majini,mapepo lakini ukija kuwapima unakuta damu zao zimeathirika na kupoteza muda mwingi kwa waganga hili ni tatizo la kutojitambua.

Nichukue fursa fupi kuwajulisha wapenzi wasomaji wa makala za Msigwa,kwa sasa 4a9 inapatikana
DAR ES SALAM kwenye maktaba ya T.r msigwa, inapatikana ZANZIBAR kwenye maktaba kuu , inapatikana IFAKARA sehemu tulipoanzisha wutafiti kwenye magonjwa mbalimbali na itakuwa ikipatikana ARUSHA kwa Pendo.

Wakati ukifika tutaeleza ni jinsi gani 4a9 itasambaa Tanzania,lakini taarifa za 4a9 tunashukuru mungu zimeanza kuenea ata kabla ya kuisambaza,nafahamu tatizo kubwa linalowakabili ni vipimo kwa wakati na kwa uhakika.

Ningependa kuwaomba watanzania tumsaidie yule mwenye nia ya kutaka kutusaidia. Tusitumike tu kama madaraja yakuwapeleka watu wanapotaka kwenda. Nia aibu kwa wasomi wa taifa hili adi leo watanzania wengi wanahangaika na matatizo mbali mbali ikiwemo vipimo vya kimaabara.

Ningependa kuwapa salamu watanzania watakao bahatika kuingia mwaka unaokuja,Ni matumaini yetu mungu atatusaidia tutuona mwaka mpya,
Tuna kila sababu ya kujiuliza watanzania
1.tumelifanyia nini taifa letu?
2.ni yapi tulioyakosea aidha kwa makusudi au kwa kutokujua?
3.ni linitataacha kutumiwa na wajanja wachache wenye malengo binafsi?

Ni matumaini yangu tutakuwa na majawabu sahihi.
Wito wa Tr msigwa kwa watanzania wenzangu tujipange kwa kufanya mema katika taifa letu,tujiepushe na mambo yatakayolivuruga taifa letu.

Tukifanya hivi;
1.tutakuwa tumejisaidia wenyewe
2.tutakuwa tumekisaidia taifa letu.

Ni matumaini yangu tutaendelea na harakati zetu mbalimbali,lakini pia naendelea kupokea simu kwa wale wanaotaka ushauri wa mambo mbalimbali katika harakati za kijamii kupitia simu zangu za mkononi.

Namba:0713646691
0773149272
0752819047
0787677211
Au email adress
Doctorymsigwa@gmail.com
mungu ibariki Afrika
Mungu ibariki Tanzania
Mungu mbariki Tr msigwa pamoja na wasaidizi wake wote.

Post a Comment

 
Top