Breaking: Matokeo Ya Kidato Cha Nne na QT 2018 Yatangazwa......Bonyeza Hapa 0 news 07:16:00 A+ A- Print Email Baraza la Mitihani Tanzania (Necta) leo limetangaza matokeo ya kidato cha nne mwaka 2018 ambapo ufaulu umeongezeka kwa asilimia 1.29 kutoka asilimia 77.09 mwaka 2017 hadi asilimia 78.38.Kutazama matokeo BONYEZA HAPO CHINI.Matokeo Ya Kidato Cha Nne (Csee) 2018 Link 1Matokeo Ya Kidato Cha Nne (Csee) 2018 Link 2 Matokeo Ya Mtihani Wa Maarifa (Qt) 2018 Link 1Matokeo Ya Mtihani Wa Maarifa (Qt) 2018 Link 2
Post a Comment