0
Uchumi wa dunia unatarajiwa kupungua kwa asilimia 2.6 kutokana na vita vya Ukraine
Uchumi wa dunia unatarajiwa kupungua kwa asilimia 2.6 kutokana na vita vya Ukraine

 Wachumi wa Umoja wa mataifa wanaonya kwamba matarajio ya ukuaji wa uchumi mwaka huu yanafifia kwa haraka kutokana na athari mbaya za vita nchini Ukraine.Shirika la biashara na maendeleo la Umoja wa mataifa(UNCTAD) limeshusha sana makadirio ya awali … Read more »

Read more »
25Mar2022

0
Kiongozi wa kundi linalopinga wahamiaji nchini Afrika Kusini akamatwa
Kiongozi wa kundi linalopinga wahamiaji nchini Afrika Kusini akamatwa

 Kiongozi wa kundi linalopinga wahamiaji nchini Afrika Kusini alikamatwa siku ya Alhamisi, vyombo vya habari nchini humo vinaripoti.Nhlanhla Lux Dlamini, 33, ameripotiwa kuzuiliwa katika kituo cha polisi katika mji mkuu wa kibiashara wa Johannesburg.… Read more »

Read more »
25Mar2022

0
Biden kutembelea mpaka wa Poland na Ukraine
Biden kutembelea mpaka wa Poland na Ukraine

 Katika taarifa yake ya sasa Ikulu ya Marekani imesema Rais Joe Biden leo hii atatembelea mji wa Poland ambao uko karibu na mpaka na Ukraine, kwa lengo la kuonesha mshikamano na Ukraine dhidi ya uvamizi wa Urusi.Katika eneo hilo la Rzesow, lililo umb… Read more »

Read more »
25Mar2022

0
Idadi kubwa ya wanafunzi watekwa nyara Nigeria
Idadi kubwa ya wanafunzi watekwa nyara Nigeria

 Idadi kubwa ya wanafunzi wametekwa nyara katika shambulizi kwenye shule ya bweni katika jimbo la Kaduna la Nigeria.Samuel Aruwan, Jenerali wa Jimbo la Kaduna anayeshughulikia Usalama wa Ndani na Mambo ya Ndani, ametangaza kuwa watu wenye silaha wasi… Read more »

Read more »
12Mar2021

0
Waziri mkuu awatuliza Watanzania
Waziri mkuu awatuliza Watanzania "Rais Magufuli aumwi yupo salama, kutoka kwake ni kwa ratiba"

 Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, amewataka Watanzania kuwapuuza wapotoshaji wanaosambaza taarifa za chuki, uongo na kuzua taharuki miongoni mwa wanajamii kuhusu afya ya Rais Dkt. John Magufuli na kusema kuwa ni mzima wa afya na hata leo asubuhi ameongea… Read more »

Read more »
12Mar2021

0
Breaking: Matokeo Ya Kidato Cha Nne na QT 2018 Yatangazwa......Bonyeza Hapa
Breaking: Matokeo Ya Kidato Cha Nne na QT 2018 Yatangazwa......Bonyeza Hapa

Baraza la Mitihani Tanzania (Necta) leo limetangaza matokeo ya kidato cha nne mwaka 2018 ambapo ufaulu umeongezeka kwa asilimia 1.29 kutoka asilimia 77.09 mwaka 2017 hadi asilimia 78.38.Kutazama matokeo BONYEZA HAPO CHINI.Matokeo Ya Kidato Cha Nne (… Read more »

Read more »
24Jan2019

0
Kikwete aondoka leo kwenda Zimbabwe kumuwakilisha JPM
Kikwete aondoka leo kwenda Zimbabwe kumuwakilisha JPM

Rais Mstaafu wa Awamu ya Nne Dkt. Jakaya Kikwete ameondoka nchini asubuhi hii kuelekea Harare nchini Zimbabwe ambapo anakwenda kumuwakilisha Rais Dkt. John Pombe Magufuli kwenye  Sherehe za kuapishwa Rais Mteule wa Jamhuri ya Zimbabwe Emmerson Mnang… Read more »

Read more »
26Aug2018

0
Madrid yatumia mbinu chafu kumnasa Mbappe
Madrid yatumia mbinu chafu kumnasa Mbappe

REAL Madrid bado inafanya mbinu za kimafia ili kumsajili straika wa Paris St. Germain (PSG), Kylian Mbappe. Klabu hiyo inasubiri hatma ya shauri la PSG lililoko kwenye Shirikisho la Soka Ulaya (UEFA) ambako inakabiliwa na tuhuma za kukiuka kanuni za… Read more »

Read more »
26Aug2018

0
Majaliwa amtembelea Kigwangalla kwa mara ya pili Hospitali
Majaliwa amtembelea Kigwangalla kwa mara ya pili Hospitali

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa leo Agosti 26,2018 amemtembelea na kumjulia hali Waziri wa Maliasili na Utalii Dkt. Hamisi Kigwangalla aliyelazwa katika wodi maalum kitengo cha Taasisi ya mifupa MOI, hospitali ya Taifa Muhimbili jijini Dar es Salaam.Hii… Read more »

Read more »
26Aug2018
 
123 ... 315»
 
Top