Neno tbt (Throw back thursday) limejipatia umaarufu kupitia
mtandao wa Instagram ambapo watu hutumia siku ya alhamis kuposti matukio
yaliyojiri kipindi cha nyuma. Leo nimekusogezea picha za baadhi ya
mastaa wa bongo walizopiga miaka iliyopita, akiwemo Vanessa Mdee, Idriss
Sultan, Rayvanny, Damian Soul na Rammy Galis.

Vanessa Mdee

Idriss Sultan 2007

Barnaba na mama mtoto wake ( Mama Steve)

Rammy Galis akiwa na miaka 3

Raymond (Rayvanny) kwenye tamasha la Fiesta aliposhinda kama Super nyota 2011

Damian Soul akiwa Bungu Sekondari Korogwe Tanga 2003
Post a Comment
Click to see the code!
To insert emoticon you must added at least one space before the code.