
Kama wewe ni mpenzi wa burudani utataka kujua ni nyimbo gani kali zinazofanya vizuri Africa, Trace TV wametuletea list ya ngoma kumi kali kutoka duniani kote kupitia chat zao za Urban Hit 10, Goodnews! nikwamba video 6 zimeshikiliwa na waafrika.
kama ulipitwa na list ya video za chat hiyo mtu wangu, nakusogezea hapa chini na wewe ujionee… 









Post a Comment
Click to see the code!
To insert emoticon you must added at least one space before the code.