Ni Headlines za Vanessa Mdee ambae
amekuwa ni moja kati ya wasanii wa Africa waliochaguliwa kurekodi wimbo
na mshindi wa Grammy na mwimbaji wa RNB nchini Marekani, Trey Songz kupitia msimu wa 4 kipindi cha Coke Studio Africa.
Akizungumza na millardayo.com & Ayo TV Vanessa Mdee aliyaongea haya>>>Niko
Kenya nikifanya msimu wa Coke Studio Africa ambapo msimu huu
tumemkaribisha msanii wa kimarekani Trey Songz kuja kufanya
collaboration na waafrika nikiwemo na mimi’
‘Ni experience ya
kipekee sana nimefuraha sana kuwa katika nafasi hii ya kufanya collabo
nae kwani ni hatua nzuri kwangu pia kuitangaza nchini yangu’
Unaweza ukabonyeza play kumsikiliza Vanessa Mdee akielezea collabo yake na Trey Songz
Post a Comment