0
Mshambuliaji wa klabu ya Simba Danny Lyanga ameingia kwenye headlines baada ya taarifa za yeye kufuzu majaribio kusambaa katika mitandao ya kijamii, Danny Lyanga amefanikiwa kujiunga na Fanja SC.
Lyanga ambaye alikuwa hana nafasi ya kucheza Simba kutokana nafasi ya ushambuliaji kuwepo na washambuliaji kama Laudit Mavugo kutoka Burundi, Fredrick Blagnon kutoka Ivory Coast na Ibrahim Ajib alikuwa hana nafasi hivyo Simba waka mruhusu akafanye majaribio klabu ya Fanja SC.

Post a Comment

 
Top