0
Neno tbt (Throw back thursday) limejipatia umaarufu kupitia mtandao wa Instagram ambapo watu hutumia siku ya alhamis kuposti matukio yaliyojiri kipindi cha nyuma. Leo nimekusogezea picha za baadhi ya mastaa wa bongo walizopiga miaka iliyopita, akiwemo Vanessa Mdee, Idriss Sultan, Rayvanny, Damian Soul na Rammy Galis.
img-20160929-wa0031
Vanessa Mdee
img-20160929-wa0032
Idriss Sultan 2007
barnaba
Barnaba na mama mtoto wake ( Mama Steve)
img-20160929-wa0036
Rammy Galis akiwa na miaka 3
img-20160929-wa0025
Raymond (Rayvanny) kwenye tamasha la Fiesta aliposhinda kama Super nyota 2011
img-20160929-wa0028
Damian Soul akiwa Bungu Sekondari Korogwe Tanga 2003

Post a Comment

 
Top