
Utangulizi
Kukonda, kudhoofika na/ ama kupungua uzito bila sababu ni tatizo linalo wakabilia watu wengi duniani.
Mgonjwa
hupungua hukonda, kudhoofika na kupungua uzito kwa kasi bila
sababu ya msingi kama vile kuanya diet maalumu ya kupunguza
uzito au kufanya mazoezi maalumu ya kupunguza uzito.
Hali
hii ( kupungua mwili na uzito bila kufanya diet au mazoezi)
inapotokea, ndipo tunasema, mhusika amedhoofu mwili.
Chanzo Cha Tatizo La Kudhoofu Mwili
Kwa
mujibu wa tafiti mbalimbali za kitabibu, tatizo la kupungua
uzito na kudhoofu mwili, husababishwa na mambo yafuatayo ;
i.Kuugua magonjwa na maradhi mbalimbali kama vile kisukari nakadhalika.
ii.Ukosefu wa lishe bora
iii. Msongo wa mawazo
iv.Ukosefu wa hamu ya kula
Dalili Za Mtu Aliye Dhoofu Mwili
Dalili za mtu aliye dhoofu mwili, hutegemea na aina ya kirutubisho ambacho mwili umekikosa.
Lakini hata hivyo, zipo dalili za ujumla, ambazo huwatokea watu wengi wenye tatizo la kudhoofu mwili.’
Dalili hizo ni pamoja na :
i. Ngozi kupauka
ii.Kujisikia uchovu
iii. Mwili kuwa mwepesi na dhaifu
iv. Kupungua uzito kwa kiwango kikubwa
v. Kupumua kwa shida
vi. Mhusika kupenda sana chakula cha aina moja tu ilihali hakiwa hana appetite kabisa na vyakula vya aina nyingine.
vii.Nywele kunyonyoka
viii. Kukosa choo ama choo kufunga
ix. Mapigo ya moyo kwenda kasi
x. Mwili kuishiwa nguvu
xi. Miguu kukosa ganzi
xii.Kwa wanawake : kupatwa matatizo mbalimbali ya hedhi.
Tiba Asilia Ya Tatizo La Kudhoofu Mwili
DAWA-LISHE ni tiba asilia inayo tibu na kuponyesha kabisa tatizo la kudhoofu mwili.
Tiba hii husaidia kuunenepesha na kuupa nguvu mwili na kuurejesha katika hali yake ya kawaida.
Tiba hii ni ya asili kabisa ( Pure HERBAL ), isiyo na kemikali za viwandani.
GHARAMA : Dawa hii, inapatikana kwa gharama ya SHILINGI ELFU HAMSINI (Tshs.50,000/=)
Inauzwa
na kusambazwa na duka la dawa za asili la NEEMA HERBALIST.
Tunapatikana UBUNGO jijini DAR ES SALAAM, nyuma ya jengo la
UBUNGO PLAZA, jirani na SHULE YA MSINGI UBUNGO NATIONAL HOUSING.
Kwa
wateja waliopo Dar Es Salaam, ambao hawana nafasi ya kuja
ofisini, watapelekewa dawa mahali walipo ( Home & Ofice
Delivery )
Kwa wateja waliopo mikoani, watatumiwa dawa kwa mabasi mbalimbali.
Kwa waliopo Zanzibar, watatumiwa dawa kwa njia ya boti.
Kwa wateja waliopo Mombasa, watatumiwa dawa kwa gari la TAHMEED.
Kwa wateja waliopo Nairobi, watatumiwa dawa kwa njia ya basi la DAR EXPRESS.
Wasiliana nasi kwa simu namba 0766 53 83 84.
Kwa taarifa zaidi kuhusu huduma zetu, endelea kututembelea kila siku, katika blogu yetu:
Post a Comment