Waziri
wa Mambo ya Ndani ya Nchi na Mwanachama wa Klabu ya Yanga, Mwigulu
Nchemba akiwa katika Mazungumzo na Kocha wa Yanga aliyetangaza kujiuzulu
kuitumikia klabu hiyo hivi karibuni, Hans Van Pluijm na kumtaka ajeree
kwenye kibarua chake cha kuendelea kukinoa kikosi cha Yanga
kinachoshikilia Ubingwa wa Ligi Kuu Tanzania Bara. Kushoto ni Kaimu
Katibu Mkuu wa Yanga, Baraka Deusdedit
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Post a Comment