Bodi
ya Mikopo ya Wanafunzi wa Elimu ya Juu inatangaza orodha ya majina ya
Wadaiwa Sugu ambao wamehitimu katika Vyuo mbalimbali vya Elimu ya Juu
kuanzia mwaka wa masomo 1994/1995.
Wasugu
hao wanapewa siku 30 kulipa madeni yao ndani ya muda huo kabla hatua za
kisheria hazijachukuliwa na wahusika kulazimika kulipia gharama za
kuwasaka na kuendesha kesi.
Kwa
mawasiliano zaidi piga 0763 459 165 au 0767 513 208 au tembelea ofisi
zetu za Makao Makuu, Dar es salaam au ofisi zetu za kanda zilizopo
Dodoma, Zanzibar, Mwanza na Arusha.
Kuona orodha hiyo bofya viunganishi vifuatavyo:
Post a Comment