Jay Z hatoi kiki kwa Rais Donald Trump kama swahiba wake Kanye West. Kwake ni muendelezo wa mikausho mikali.
Jumatano hii, Jigga alikuwa akizungumza na waandishi wa habari kwenye tamasha la Sundance kuhusu series za makala za Spike, TIME: The Kalief Browder Story,” lakini aliamua kutolijibu swali kuhusu utawala mpya wa Trump.
Rapper huyo ambaye alimpigia debe Hillary Clinton wakati wa kampeni, alilitosa swali hilo na kuhitimisha interview. “We’re not gonna answer that,” alisema na kuanza kuondoka.
Mshirika wa Jay Z kwenye miradi kadhaa ya filamu, Harvey Weinstein, aliongeza, “This is a labor of love for Jay and I. We’re here to talk about that and nothing else.”

Post a Comment