Viongozi wa umoja
wa Afrika wameamua kuirudisha Morocco katika shirika la Umoja wa Afrika
AU zaidi ya miongo mitatu baada ya taifa hilo la ufalme wa Afrika
Kaskazini kujiondoa katika AU kufuatia mgogoro wa eneo la Sahara
magharibi.
Shirika hilo linatambui Sahara ya Magharibi kuwa jimbo huru, lakini Morrocco inasema kuwa eneo hilo ni mkoa wake wa kusini.- Morocco yataka kujiunga upya na AU
- Mfalme wa Morocco kukutana na Magufuli
- AU kumchagua mwenyekiti mpya wa tume
Eneo la Sahara ya Magharibi linaendelea kuwa eneo tata ,lakini viongozi wengi wa Afrika walipiga kura kuikubali Morrocco kurudi katika Umoja wa Afrika.
Post a Comment