Nyota wa Cameroon Christian Bassogog amechaguliwa kuwa mchezaji bora wa
michuano ya Kombe la Mataifa ya Afrika iliyomalizika nchini Gabon mwaka
huu 2017.
Orodha ya wachezaji wengine waliofanya vizuri katika michuano hiyo ni Mchezaji Bora wa Benjamin MOUKANDJO (Cameroon), Tuzo ya Fair Play – Misri, Mfungaji Bora-Junior KABANANGA (DRC) Mabao 3, Kikosi cha Mashindano cha CAF – Kipa Fabrice ONDOA (Cameroon),Mabeki- Modou Kara MBODJI (Senegal), Ahmed HEGAZY (Misri), Michael NGADEU (Cameroon)
Viungo-Charles KABORE (Burkina Faso), Daniel AMARTEY (Ghana), Bertrand TRAORE (Burkina Faso), Christian ATSU (Ghana), Mohamed SALAH (Misri) .
Post a Comment