Tangazo la nyumba inauzwa, ipo kata ya kigogo, kigogo kati karibu na
Kituo cha daladala cha Landa bar, eneo lake lina kubwa sqm 205, ina
vyumba 2 vya kulala, na master 1, jiko 1, Choo 1, eneo la kuanika nguo
lipo, gari linafika nje ya nyumba,kwa mawasiliano zaidi piga namba 0625
-527607 / 0713 - 658888.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Post a Comment