Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Nape Nnauye amesema kuwa
ana uhakika timu ya taifa vijana chini ya miaka 17 Serengeti Boys,
inakwenda kuchukua ubingwa wa miachuano ya Afrika kwa vijana, nchini
Gabon
Amesema kwa mwenendendo waliouonesha vijana hao, ni dhahiri kuwa hawatakwenda Gabon kushiriki bali kuchukua ubingwa na kuwataka watanzania wote na wadau mbalimbali kushiriki kwa hali na mali katika kuiunga mkono ili kuipa nguvu.
Post a Comment