Rais wa Ukraine, Petro Poroshenko, amesema kuwa amekuwa na mazungumzo na
Donald Trump, kuhusiana na hali ilivyo mashariki mwa nchi hiyo, mahali
ambapo majeshi ya serikali yanakabiliana na waasi wanaoungwa mkono na
Urusi.
Bwana Poroshenko, amesema kwamba, Bwana Trump, amezungumzia kuimarisha mikakati ya ushirikiano kati ya Ukraine na Marekani, na haja ya kutanzua mgogoro huo kwa njia ya kidiplomasia.
Lakini Bwana Trump amesema kuwa, anataka kuimarisha uhusiano wake na Rais wa Urusi Vladimir Putin.
Bwana Poroshenko, amesema kwamba, Bwana Trump, amezungumzia kuimarisha mikakati ya ushirikiano kati ya Ukraine na Marekani, na haja ya kutanzua mgogoro huo kwa njia ya kidiplomasia.
Awali, Bwana Poroshenko alisema kuwa, mapigano mapya yaliyochipuko huko
hivi majuzi, inaimarisha haja ya Marekani kuiwekea vikwazo Urusi.
Post a Comment