0
Image result for ZITTO KABWE
Masaa kadhaa baada ya mbunge wa Kigoma Mjini, Zitto Kabwe kusema kwamba ametaarifiwa kwamba Jeshi la polisi linataka kumkamata, Kamanda wa Polisi mkoa wa Dodoma Lazaro Mambosasa na amesema taarifa hizo sio za kweli 
Image result for Polisi mkoa wa Dodoma Lazaro Mambosasa
“Hiyo taarifa yeye mwenyewe ndio anajitangazia akamatwe lakini sisi hatumkamati kwa sababu hatuna issue nae.” 
“Unajua watu wanafikia mahali wanatafuta umaarufu wakamatwe ili wapige mayowe, hatuna mpango wowote wa kumkamata kwasababu hajatenda kosa la jinai.” – alisema Kamanda Mambosasa 

Post a Comment

 
Top