

Chris Brown amecomfirm kuja kwake Afrika Mashariki kupitia Video fupi iliyopostiwa kwenye mtandao wa YouTube, akiwataka Wakenya wajitokeze kwa wingi siku hiyo.
“Yoyo 001, Mombasa Kenya, can’t wait to come out there. Kenya we are turning it up. October 8th make sure you’re there, make sure you’re ready and we are gonna party, thank you,” anasikika mshindi huyo wa tuzo ya Grammy Award.
Wakenya watapata nafasi ya kumshuhidia Breezy kwenye stage kwa kiingilia cha shilingi 10,000 za Kenya kwa tiketi za kawaida huku VIP ikiwa shilingi 20,000 na VVIP itakua shilingi 50,000 za Kenya.
Post a Comment
Click to see the code!
To insert emoticon you must added at least one space before the code.