BREAKING NEWS: Gwajima na Iddi Azzan wapelekwa Kituo Kikuu cha Polisi 0 news 01:34:00 A+ A- Print Email DAR: Askofu Gwajima na Idd Azzan wapelekwa Kituo Kikuu cha Polisi kutoka Mahakama ya Kisutu. Ilikuwa wapandishwe kizimbani leo. - Mpaka sasa haijajulikana wamepelekwa huko kwa kusudio gani. JamiiForums inaendelea kufuatilia. CHANZO: JamiiForum
Post a Comment