0

Zaidi ya watu 10 wanadhaniwa kufariki katika ajali ya boti ya wavuvi Zanzibar

Taarifa zilizotufikia muda huwa kuwa watu zaidi ya kumi wanadhaniwa kufariki  katika ajali ya Boti ya  uvuvi hata hivyo baadhi ya watu waliookolewa na mabaharia wa boti ya Azama Sea Link iliyokuwa ikisafiri kutoka Pemba kwenda Kisiwani Unguja.

Taarifa zinasema kuwa uokoaji unaendelea na kwamba watu 50 wameokolewa katika ajali hiyo.

Muungwana Blog ilifanya mawasiliano na Maofisa wahudumu wa Ofisi za Boti hiyo ambao walikiiri kutokea kwa ajili hiyo

Maofisa hao hawakutaja majina yao kutajwa kutokana na kudai kuwa hawana mamlaka ya kusema chochete kuhusu ajali hiyo.

Muungwana Blog itakujuza zaidi tukio hili

Post a Comment

 
Top