0

Kikosi cha Serengti Boys kimemaliza mashindano ya CECAFA chini ya miaka 17 kwa ushindi wa mabao 4-3 kwa njia ya matuta.

Ushindi huo umekuja kufuatia kumaliza dakika 90 kwa sare ya mabao 2-2.

Serengeti imemaliza hatua hiyo baada ya kutolewa na Uganda ambayo ipo dimbani hivi sasa kucheza na Ethiopia kwenye mchezo wa fainali, mabao 3-1.

Mechi ya fainali kati Uganda na Ethiopia imehudhuriwa na Rais wa Shirikisho la Soka Afrika, Ahmad Ahmad.

Post a Comment

Emoticon
:) :)) ;(( :-) =)) ;( ;-( :d :-d @-) :p :o :>) (o) [-( :-? (p) :-s (m) 8-) :-t :-b b-( :-# =p~ $-) (b) (f) x-) (k) (h) (c) cheer
Click to see the code!
To insert emoticon you must added at least one space before the code.

 
Top