Mkuu
wa Jeshi la Polisi Nchini IGP Ernest Mangu (watatu kulia) akiwaongoza
maofisa na askari wa vyeo mbalimbali wa Jeshi la Polisi kufanya mazoezi
ya viungo mara baada ya kumaliza matembezi ya pamoja ya kuimarisha afya
na kujenga ushirikiano mahala pakazi katika mkoa wa kipolisi wa
Kindondoni mapema leo asubuhi. (Picha zote na Demetrius Njimbwi – Jeshi
la Polisi)
Mkuu
wa Jeshi la Polisi Nchini IGP Ernest Mangu (wapili kushoto) akiwaongoza
maofisa na askari wa vyeo mbalimbali wa jeshi la Polisi wakati wa
matembezi ya pamoja ya kuimarisha afya na kujenga ushirikiano mahala
pakazi katika mkoa wa kipolisi kinondoni mapema leo asubuhi. Kushoto
kwake ni kamanda wa Polisi mkoa wa Kinondoni Kamishna Msaidizi
Mwandamizi wa Polisi (SACP) Suzan Kaganda.
Mkuu
wa Jeshi la Polisi Nchini IGP Ernest Mangu, akiwaongoza maofisa na
askari wa vyeo mbalimbali wa Jeshi la Polisi katika matembezi ya pamoja
ambayo yalianzia katika kituo kikuu cha Polisi Oysterbay na kupita
maeneo ya kwa Msasani kwa Mwalimu Nyerere na baadae kuingia barabara ya
Ali Hassan Mwinyi jijini Dar es salaam mapema leo asubuhi.
Post a Comment