Muimbaji wa Kenya, Akothee amefunguka tetesi zilizosambaa kuwa alimlipa
Diamond Platnumz kiasi cha shilingi milioni mbili za Kenya ili ashiriki
katika wimbo wake wa ‘Sweet Love’. Kiasi hicho ni takriban shilingi
milioni 36 za Tanzania.
“What is two million shillings? No! am not saying no but am not saying yes, am saying why 2 million. Is the song good, we don’t have to talk about price if the song is not good then if we have paid we will ask our money back,” amesema Akothee.
“And now the song is doing well let’s just talk about the song,’ ameongeza.
Mpaka sasa wimbo huo umefanikiwa kutazamwa mara 3,383,577 kwenye mtandao wa YouTube na umekuwa wimbo wa kwanza wa muimbaji huyo kutazamwa zaidi katika mtandao huo.
Post a Comment