0
 Kiungo mpya wa Everton, Morgan Schneiderlin akisaini mkataba wa miaka minne.
 Akiwa na kocha kocha wake wa zamani Ronald Koeman.
Kiungo Morgan Schneiderlin hatimaye amejiunga na klabu ya Everton, akitokea Man United kwa ada ya paundi milioni 20 ambayo itapanda hadi paundi milioni 24.

Mfaransa huyo ambaye ana umri wa miaka 27, amesaini mkataba wa miaka minne na nusu ambao utamalizika mwaka 2021, Schneiderlin ameungana na kocha wake wa zamani Ronald Koeman.

Post a Comment

 
Top