Mkali wa ‘Chafu Pozi’ Bill Nas amewataka mashabiki wake kukaa mkao wa
kula ambapo ameahidi kuachia wimbo kabla mwezi huu (January) haujaisha
Bill Nas ni miongoni kati ya wasanii waliofanya vizuri kwa mwaka jana na kupitia kipindi cha Zero Planet ya Ice Fm amesema, “Plan zangu nyingi tu mtaona matunda yake soon natoa wimbo mpya.”
Alipoulizwa kuhusu soon ikiwa ni mwezi gani Nas amesema “mwezi huu wa kwanza” na mpishi wa ngoma hiyo ni Mr T Touch yule yule aliyefanya Chafu pozi
Kuhusu ile kauli ya real hip hop aliyoisema Young Killer ameirudisha kupitia wimbo wake Na, s amesema “ni kukua kwa muziki, hata program zimebadilika za kugonga muziki kwahiyo hatuwezi kubaki pale pale.”
Hata hivyo hajataja wimbo unaitwaje, ni collabo au kafanya peke yake ila kikubwa amewaomba mashabiki wajiandae kumsapoti katika karata yake nyingine

Post a Comment