STAA wa filamu Bongo, Chuchu Hans, hatimaye amejifungua mtoto wa kiume
katika Hosptali ya Taifa ya Muhimbili, akiwa mwanamke wa kwanza
kumpatia muigizaji mkubwa kiume Vincent Kigosi ‘Ray’, mtoto.
Akizungumza Mtanda huu ndugu wa karibu na mastaa hao alithibitisha kujifungua kwa Chuchu na kusema kuwa ujio wa mtoto huyo ambaye wamempa jina la kwanza la Vincent Junior, kuwa ameleta furaha kubwa kwa Ray.
“Yaani Ray, alikuwa Zanzibar kwa ajili ya kungalia mpira lakini alipopata habari hiyo alionekana mwenye furaha sana huku baadhi ya mastaa wenzake wakimpongeza,” alisema ndugu huyo

Post a Comment