Breaking News: Mbunge wa Kilombero ahukumiwa Jela miezi sita
KILOMBERO: Mbunge Peter Lijualikali wa CHADEMA pamoja na dereva wake John Bikasa wamehukumiwa miezi 6 jela bila ya faini.
- Wawili hao walikuwa na mashtaka ya kuwashambulia Askari wa Jeshi la Polisi.
Post a Comment