0
Kwaheri mpendwa wetu JOSEPH J. LWOGA ( ANCLE MILO)  tulikupenda sana ila ya M/mungu amekupenda zaidi umetutoka kama ndoto na umetuacha hatuamini kama umetutoka mpendwa na leo hii Tarehe 10 / 1 /  2017 tumekulaza katika makazi yako mapya katika makaburi ya Wahanga yaliopo Milimbili Dodoma kwaheri mpendwa, kwaheri mpendwa, kwaheri mpendwa..
Pia Muungwana Blog Pamoja na NBC Club ya Dodoma tunapenda kutoa pole kwa Familia Ya marehemu JOSEPH J. LWOGA ( ANCLE MILO) na pia tunaungana nao kwenye kipindi hiki cha majonzi ya mpendwa wetu. M/mungu ailaze roho ya marehemu JOSEPH J. LWOGA ( ANCLE MILO) mahala pema peponi..  Amin
Hizi ni picha za maziko ya mpendwa wetu JOSEPH J. LWOGA ( ANCLE MILO) 






Post a Comment

 
Top