Mashabiki wa Mbeya City
Kauli hiyo imetolewa na Katibu wa Timu hiyo, Emmauel Kimbe wakati wa
kikao cha kujadili mustakabali wa soka, Mkoa wa Mbeya, ambapo amesema
kuwepo kwa tabia hiyo kumekosesha mapato katika timu hiyo.
Naye Mkuu wa Mkoa wa Mbeya, Amos Makalla, ambaye alikuwa Mwenyekiti katika kikao hicho amesema kuwa furaha yake ni kuona mkoa unaongeza timu nyingi zitakazoshiriki ligi kuu Tanzania bara
Post a Comment