Rais
Barack Obama, Jumanne hii huko jijini Chicago ametoa hotuba yake ya
mwisho kuwaaga Wamarekani baada ya kuwatumikia kwa miaka minane.
Obama anaondoka na historia ya kuwa Mmarekani Mweusi wa kwanza kuwa Rais wa nchi hiyo. Ameshika nafasi hiyo kwa mihula miwili
Kwenye hotuba hiyo iliyokuwa imejaa hisia na simanzi, Rais Obama amewataka Wamarekani kulinda demokrasia yao.
Kuhusu
masuala ya rangi kwenye hotuba yake Obama amesema: After my election,
there was talk of a post-racial America. Such a vision, however
well-intended, was never realistic. For race remains a potent and often
divisive force in our society. I’ve lived long enough to know that race
relations are better than they were 10, or 20, or 30 years ago
Amewataka
Wamarekani wa kila kundi kufikiria mambo kwa mtazamo wa kila mmoja na
kuwataka wasikilizane. Wafuasi wake walisikika wakipiga kelele ‘miaka
mine tena’ lakini kwa tabasamu akawajibu ‘siwezi kufanya hivyo.’
Michelle akimkumbatia kwa hisia kali mume wake Barack Obama baada ya kupanda jukwaani kuungana naye
Post a Comment