0
 Kiungo wa Simba, Muzamiru Yasin akimiliki mpira mbele ya mshambuliaji wa timu jiyo, Juma Luizio katika mazoezi ya mwisho ya timu hiyo ya kujiandaa na mechi ya kesho dhidhi ya Azam yaliofanyika kwenye Uwanja wa Jeshi la Kujenga Taifa (JKT) Dege Beach, Dar es Salaam.
 Jonas Mkude (kulia) akionyesha uwezo wake wa kumiliki mpira kwa kutumia paja katika mazoezi hayo.
Mohammed Ibrahim ‘MO’, naye hakuwa nyuma kuonyesha ufundi wake wa kumiliki mpira katika mazoezi hayo.

Baadhi ya wachezaji wa timu hiyo wakifanya mazoezi ya kukimbia baada ya kumaliza yale ya kuchezea mpira.

Post a Comment

 
Top