0
 Rais wa 45 wa Marekani, Donald Trump amefanya safari yake ya kwanza akiwa rais kwa kutumia ndege ya  Rais, Air Force One  na helkopta ya Rais, Marine One Januari 26.

Trump amefanya safari akitoka Ikulu iliyopo Washington DC na kwenda Jimbo la Philadelphia umbali wa takribani maili 150, jana Alhamisi alipokwenda wenye mkutano wa mwaka na baadaye majira ya mchana kurudi tena Washington DC.

Wiki iliyopita Trump alitumia Air Force One wakati akitoka New York kwenda Washington DC kwa ajili ya kuapishwa kuwa rais wa nchi hiyo.





Post a Comment

 
Top