Klabu ya Manchester United ambao ni mabingwa watetezi wa Kombe la FA,
watapambana na mabingwa wa mwaka 2013 ambao ni Wigan Athletic katika
raundi ya nne ya kombe hilo.
Huku mabingwa wa Uingereza klabu ya Leicester City watakumbana na Derby County, huku Chelsea wakicheza na Brentford.
Raundi ya nne inashirikisha timu 32, na mechi hizi zitachezwa Januari 27-30.
Droo kamili ya FA ni hii hapa chini
Tottenham Hotspur v Wycombe Wanderers
Derby County v Leicester City
Oxford United v Newcastle United au Birmingham City
AFC Wimbledon au Sutton United v Cambridge United au Leeds United
Plymouth Argyle or Liverpool v Wolverhampton Wanderers
Southampton au Norwich City v Arsenal
Lincoln au Ipswich v Brighton
Chelsea v Brentford
Manchester United v Wigan Athletic
Millwall v Watford
Rochdale v Huddersfield Town
Burnley or Sunderland v Fleetwood Town au Bristol City
Blackburn Rovers v Barnsley au Blackpool
Fulham v Hull City
Middlesbrough v Accrington Stanley
Crystal Palace au Bolton v Manchester City.
Post a Comment