TIBA(1)
Weka macho yawe safi na uyakoshe kwa maji ya waridi kila wakati. Epusha macho kutokana na joto, baridi, moshi, vumbi, macho yasitumie nguvu sana kama vile kusoma sana. Tumia dawa za kulainisha choo ikiwa hupati choo vizuri kwa sababu pia huchangia katika maumivu ya kichwa na macho.awe pia anakula karoti.
AU TUMIA DAWA HII HAPA CHINI ITAKUSAIDIA :
Tiba (2)
Matatizo ya macho Asali ni bingwa kwa ajili ya macho, Pakaa asali katika macho huzidisha nuru ya macho, pia husaidia katika matibabu ya trachoma, conjuctivits na maradhi mengine ya macho, kila siku pakaa asali katika nje ya jicho na ndani ya jicho (kwa ndani ya jicho unaweza kutumia unyoya au wa kuku au ndege yoyote yule) kufanya hivo asali hupigana na kujilinda na maradhi ya glaucoma.
Tiba (3)
Asali pia husaidia kwa matatizo ya cataract, chukua 2 grams ya maji ya vitunguumaji na asali uchange pamoja upake hii kwa wale wenywe immature cataract. (Upate Asali ya nyuki mbichi tena iwe Safi ) isiyochanganywa na sukari. Chaguwa moja kati ya hizo Tiba hapo juu tumia kwa muda wa siku 3 isipomfaa ndio unatumia Tiba ingine.

Post a Comment