Wema na Idris
MCHEKESHAJI maarufu Bongo na aliyekuwa mshiriki wa shindano na
‘Big Brother Africa’, Idris Sultan amefunguka kupitia ukurasa wake wa
Instagram kuwa sauti ya Wema ilirekodiwa bila ya Wema mwenyewe kujua.
Idris amefunguka kwa wanaokwenda kumtembelea Wema wengi ni wanafiki na
wanamalengo yao mengine tofauti na kwenda kumjulia hali Wema.
“Na muendelee kupiga kulele kutembelea watu central na recording people bila wao kujua. Kwakua tunachukulia maisha ya watu kama mfumo wa likes na following bila tunawaumiza kiasi gani kwa tunachokifanya basi let us proceed na tutaona kama tunaowapenda kama tunavyosema tutakua tumewatendea haki. Kwa hili nimeshindwa kunyamaza you claim to be friends and true people kumbe unafiki unatujaa. We will kill our families and be the 1st to cry kwenye Msiba WHERE IS HUMANITY? kama hamjapenda kutoa moral support basi kaeni majumbani kwenu na mposti posti vimachozi na unafki wenu sio hata pale pasafi padogo palipo baki” Aliandika Idris
Ujumbe wa Idris Instagram
Post a Comment