Matema Beach, Mbeya
Kamanda wa Polisi Mkoani Mbeya Dhahiri Kidavashari amesema marehemu
alikuwa na wanafamilia ndipo alipoogelea maji yalimzidi nguvu na kuzama
na muda mfupi aliibuka akiwa amefariki.
Mwili wa marehemu umefanyiwa uchunguzi na kukabidhiwa kwa ndugu kwa ajili ya taratibu za mazishi.
Post a Comment