Katika hatua nyingine RC Makonda amekiri kukamatwa kwa Mmiliki wa kituo
cha Radio ya EFM,ajulikanae kwa jina la Francis Ciza,almaarufu kwa jina
la Dj Majay."tulipokuwa tukifanya opereseheni ya kuwakamata Wahusika
weote wa Dawa za kulevya juzi usiku nae akakamatwa kw mahojiano
zaidi;"alisema Makonda.
Makonda amejibu habari za kukamatwa kwa Dj Majay mara baada ya kuulizwa
swali na mmoja wa waandishi wa habari, kufuatia tetesi nyingi zilizokuwa
zikisambazwa kwenye mitandao mbalimbali ya kijamii.
Post a Comment