Rapa Niki Mbishi ambaye sasa anafanya vyema na ngoma yake' I'm sorry JK'
amefunguka na kuwataja wasanii wake watano wa hip hop Bongo
anaowakubali zaidi na kusema katika wote anayemkubali zaidi ni 'Heavy
Weight MC' ambaye ni Mbunge wa Mikumi Prof Jay
Mbali na Prof Jay Nikki Mbishi aliwataja wasanii wengine wanne ambao ni Hashimu Dogo, Fid Q, One Incredible pamoja na Stereo Singa Singa.
Post a Comment