0

Rapa, Nikki Mbishi ameweka wazi kuna watu wanajitengenezea maadui wenyewe kutokana na jinsi ambavyo wanaishi maisha ya kwenye mitandao.

Nikki Mbishi amesema kwamba mitandao ya kijamii  inafanya watu kuwachukia wengine kwa vitu ambavyo hao wanaochukiwa hawana na hiyo husababishwa na wivu ambao watu hao wanawasababishia wenyewe.

Nikki amesema kwama "Unakuta mtu anajitangaza ana hiki mara ana kile basi wenye chuki wanaanza kuchukia kumbe maskini hana hata hivyo vitu, hayo ni maisha ya mitandaoni tu".

"Unachukiwa kisa umepost una nyumba ya Mil.400 mbaya zaidi huna hata hiyo nyumba yenyewe unajiongezea maadui. Mitandao ya kijamii inajenga wivu".

Post a Comment

 
Top