Mwigizaji Wema Sepetu, Waziri mkuu mstaafu Edward Lowassa na Mwenyekiti
wa CHADEMA Freeman Mbowe ni miongoni mwa waliojitokeza kuhudhuria mechi
ya Simba vs Yanga kwenye uwanja wa Taifa Dar es salaam leo February 25
2017.
Waziri mkuu mstaafu Edward Lowassa akisindikizwa kuingia uwanjani kutazama mechi.
Waziri mkuu mstaafu Edward Lowassa akisindikizwa kuingia uwanjani kutazama mechi.
Post a Comment