Chama cha wafanyakazi wa Serikali za mitaa (TALGWU)kimewatata viongozi
wa kisiasa kuacha udhalilishaji kwa watendaji ngazi za kata,vijiji na
mitaa.
“Kwa mfano tunakumbuka lile tukio la afisa ardhi aliyedhalilishwa na Makonda hivi karibuni, basi huko kwenye halmashauri, watendaji wa serikali za mitaa wananyanyasika sana,” alisema Mtima.
“Akikosea achukuliwe hatua lakini ni vyema akiachwa akajieleza, zipo taratibu za kufuata na sio kufuata umaarufu kwa njia hizo, tunaamini njia ya mazungumzo ndiyo njia sahihi tunaamini hali kama hiyo haitajitokeza tena”.
Post a Comment