Kuna kila dalili kwa Wayne Rooney akahamia kucheza soka lake katika ligi ya nchini China maarufu kama Chinese Super League, hiyo inatokana na kauli ya kocha wa Manchester United Jose Mourinho.
Wakati akijibu swali la mmoja ya waandishi wa habari kuhusu kuondoka au
kubaki kwa mchezaji huyo ndani ya timu hiyo, Mourinho alisema, “Itabidi
umuulize mwenyewe. Siwezi kukuhakikishia kama nitakuwa hapa wiki ijayo
sasa vipi nikuhakikishie hata kuwa hapa msimu ujao?”
“So you have to ask him if he wants to stay at the club for the rest of
his career or if he sees himself moving on. I’m happy to have him. I
have been very open with you. I don’t want him to leave,” ameongeza
Mourinho.
Post a Comment